Mahakama Kuu itaamua hatma ya sheria ya fedha ya mwaka wa 2023 hapo kesho

  • | Citizen TV
    1,454 views

    Mahakama kuu inaratajiwa Jumatatu kutangaza hatma kuhusu sheria ya fedha mwaka elfu mbili ishirini na tatu kuhusu iwapo utekelezwaji wake utasitishwa au la.