Mahakama kuu yaamuru kuchunguzwa upya kwa kura za ugavana za vituo vinane vya kupigia kura Wajir

  • | K24 Video
    74 views

    Mahakama kuu imeamuru kuchunguzwa na kuhesabiwa upya kwa kura za ugavana za vituo vinane vya kupigia kura katika kaunti ya Wajir. Kwengineko, mwalimu wa shule ya Legacy kaunti ya Narok ataendelea kuzuiliwa kwa wiki mbili zaidi baada ya kushtakiwa kwa kosa la kumnajisi mwanafunzi wa miaka 14 na baadaye kumpa dawa za kutoa mimba.