Mahakama kuu yamwagiza kaimu Inspekta wa polisi afike mahakamani binafsi Alhamisi

  • | KBC Video
    48 views

    Mahakama kuu imemwagiza kaimu Inspekta jenerali wa polisi Gilbert Masengeli afike mahakamani binafsi siku ya Alhamisi wiki hii baada ya kukosa kuhudhuria kikao cha mtandaoni leo asubuhi na kufika mahakamani alasiri. Akitoa maagizo hayo Justice Lawrence Mugambi alisema Kenya ni nchi inayoongozwa na sheria wala sio ukuu. Masengeli ametakiwa afike mahakamani kujibu maswali kuhusiana na kutoweka kwa watu watatu kutoka Kitengela na kuidharau mahakama.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive