12 Mar 2026 7:36 pm | Citizen TV 227 views Duration: 1:04 Ni afueni kwa madereva nchini baada ya Mahakama Kuu kutoa amri ya muda ya kusitisha utekelezwaji wa faini za hapo kwa hapo za trafiki zinazotolewa kupitia mfumo wa kielektroniki.