Skip to main content
Skip to main content

Mahakama kuu yasitisha ushirikiano wa afya wa Kenya na Marekani

  • | KBC Video
    2,674 views
    Duration: 4:25
    Mpango wa miaka mitano wa mabilioni ya dola wa ushirikiano wa kiafya baina ya Kenya na marekani ulipata pigo baada ya mahakama kuu kusitisha utekelezaji wake. Jaji Bahati Mwamuye wa mahakama kuu kwenye uamuzi wake alisitisha utekelezaji wake kusubiri kusikizwa ka kesi iliyowasilishwa na shirikisho la watumiaji bidhaa nchini na seneta wa Busia Okiya Omtatah, wanaodai kuwa mkataba huo unakiuka sheria za deta kuhusiana na takwimu za kimatibabu miongoni mwa maswala mengine. Mwanahabari wetu Ruth Wamboi anatuarifu zaidi kuhusu mapambano hayo ya kisheria. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive