Mahakama kuzuru kipande cha ardhi kinachodaiwa kumilikiwa na kampuni ya Eburru Hills huko Naivasha

  • | KBC Video
    18 views

    Mahakama ya hakimu ya Milimani itazuru kipande cha ardhi cha hekta 1,040 huko Naivasha katika kaunti ya Nakuru kinachodaiwa kumilikiwa na kampuni ya ardhi ya Eburru Hills inayohusika kwenye mzozo wa umiliki. Hakimu Gilbert Shikwe alitoa maagizo hayo kufuatia ombi la mawakili wa watu 33 wanaodai kuishi kwenye ardhi hiyo na ambao wameshtakiwa kwa kuharibu mali maksudi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive