Mahakama ya Eldoret yaamuru serikali kuwasilisha ripoti za mashahidi wa utekaji

  • | NTV Video
    91 views

    Mahakama Kuu ya Eldoret imeiamuru serikali kuwasilisha Ripoti za mashahidi wawili walioshuhudia kutekwa nyara kwa Bethwell Chesir, ambaye ni msaidizi wa Mbunge wa Marakwet Mashariki Kangogo Bowen.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya