Mahakama ya juu yasema Sheria ya Fedha kuendelea kutumika

  • | Citizen TV
    1,547 views

    Ni ushindi kwa serikali kuu baada ya mahakama ya juu kuamua kuwa sheria ya fedha ya mwaka wa 2023 itaendelea kutumika hadi pale kesi ya rufaa iliowasilishwa na wizara ya fedha utasikilizwa na kuamuliwa.