Mahakama ya Kapsabet yamzuia Caren Atieno Amuga, akihusishwa na mauaji ya Chamase

  • | NTV Video
    369 views

    Mahakama ya Kapsabet, imeamuru polisi kuendelea kumzuilia Caren Atieno Amuga, aliyekuwa mwakilishi wadi mteule Katika eneo bunge la Muhoroni Kaunti ya Kisumu, ambaye alikamatwa kwa madai ya bintiye kuhusishwa na mauaji tatanishi ya mwanaume kutoka eneo la Chamase, huku sehemu fulani za mwili wake zikitolewa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya