Mahakama ya Kikuyu yafungwa kwa muda usiojulikana

  • | Citizen TV
    742 views

    Wananchi wa eneo bunge la Kikuyu watalazimika kusubiri kwa muda usiojulikana ili kupata huduma za serikali baada ya ofisi zote za umma kuteketezwa na moto wakati wa maandamano ya jana.