Mahakama ya Kisii yatoa hukumu kwa watu watatu waliopatikana na hatia ya kumdhulumu mtoto Sagini

  • | Citizen TV
    358 views

    Mahakama mjini Kisii hii leo inatarajiwa kutoa hukumu kwa watu watatu waliopatikana na hatia katika kesi ya mtoto Baby Junior Sagini aliyeng'olewa macho Disemba mwaka jana. Kesi hiyo ambayo ilijumuisha serikali ya kaunti ya Kisii, Idara ya watoto kwa pamoja na LSK imekuwa ikiendelea kwa muda sasa.