Mahakama ya leba yamhatarisha Prof Kiama dhidi ya hatuo yeyote katika usimamizi wa UoN

  • | NTV Video
    #NTVJioni #NTVNews #NTVKenya Mahakama ya leba imemtahadharisha naibu mkuu wa chuo kikuu cha Nairobi, anayekumbwa na mzozo ,Prof Stephen Kiama, kutochukua hatua yoyote ya usimamizi wa chuo hicho ambayo itahitilafiana na kesi iliyoko kortini. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya