Mahakama ya leba yawaagiza madaktari kurejea kazini

  • | Citizen TV
    2,049 views

    Mahakama ya wafanyakazi sasa imewaagiza madaktari wanaogoma kurudi kazini ili kutoa nafasi ya mazungumzo na serikali. Jaji Byram Ongaya, kwenye uamuzi wake ameagiza kubuniwa upya kwa kamati ya mazungumzo na kuhakikisha pande zote zinashirikishwa na kurejesha majibu katika muda wa mwezi mmoja. Hata hivyo,