22 May 2026 7:41 pm | Citizen TV 148 views Mahakama ya Migogoro ya Michezo nchini imesimamisha mechi ya Ligi Kuu ya kandanda kati ya Gor Mahia na Mara Sugar FC ambayo ilipangwa kufanyika katika Uwanja wa Raila Odinga Stadium, Homa Bay, Jumapili.