Skip to main content
Skip to main content

Mahakama ya Mombasa yahukumu afisa wa polisi gerezani kwa mauaji Likoni

  • | Citizen TV
    2,701 views
    Duration: 2:56
    Baada ya miaka minane ya kutafuta haki ya mauaji ya mwana wao wa miaka 20 yaliyotekelezwa na afisa wa polisi, familia moja eneo la Likoni sasa imeshusha pumzi. Hii ni baada ya mahakama ya Mombasa juma lililopita kumuhukumu kifungo cha maisha gerezani aliyekuwa afisa mkuu wa polisi eneo la Likoni Yunus Athman, baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kijana huo Mbaraka Maitha. Afisa mwingine wa polisi aliyehusishwa na mauaji ya mfanyabiashara huko Karatina amezuiliwa kwa siku 75 uchunguzi ukiendelea