- 1,747 viewsDuration: 2:57Mahakama ya Mombasa imeendelea kufahamishwa namna mauaji ya itikadi za kidini katika msitu wa shakahola yalivyofanyika. Enos amanya aliyehudumu kama mmoja wa walinzi ameiambia mahakama kuhusu ni kwanini aliamua kuwa shahidi dhidi ya Paul Mackenzie aliyekuwa akifuata amri zake akisema alikerwa naye alipojitaja kuwa yesu