Mahakama yaagiza kukamatwa kwa mbunge huyu wa Juja

  • | Citizen TV
    3,057 views

    Mahakama ya Nairobi imeagiza kukamatwa kwa mbunge wa Juja George Koimburi. Hii ni baada ya Koimburi kukosa kufika mahamani kujibu mashtaka ya kujiteka nyara.