- 2,737 viewsDuration: 2:20Mahakama kuu nchini imetoa agizo la kukamatwa kwa raia wa Uingereza aliyehusishwa na mauaji ya mwanamke mkenya Agnes Wanjiru zaidi ya miaka 10 iliyopita. Jaji Alexander Muteti ametoa agizo hili huku sasa familia ya marehemu Agnes Wanjiru ikisema imeanza kuwa na matumaimi kwamba haki itatendeka,