Mahakama yaagiza polisi kutowazuia wananchi kwenda kusikiza kesi dhidi ya Maina Njenga

  • | Citizen TV
    5,222 views

    Mahakama ya Nakuru imeamuru maafisa wa usalama kuwaruhusu wanaotaka kufika mahakamani kusikiza kesi dhidi ya aliyekuwa kiongozi wa Mungiki Maina Njenga na wengine 11 huko Nauru. Hakimu Kipkurui Kibelion aliwaagiza polisi kuzingatia haki za wanaotaka kuhudhuria kesi hiyo na kuhakikisha kutotatiza shughuli za mahakamani.