Mahakama yaagiza shule ya Gatoto kurejeshwa jamii

  • | NTV Video
    129 views

    Amri ya mahakama kuu kuwa shule ya msingi ya Gatoto irejeshwe kwa usimamizi wa awali ambao ulikuwa ni wa jamii umepuuzwa huku wanasiasa na wahuni wakizuia lango la shule hiyo kufunguliwa. Hali hiyo ilichangia wazazi kujawa na hamaki wakidai kuwa usimamizi wa serikali unawakandamiza.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya