Mahakama yaamua deta za macho zilizokusanywa na kampuni ya Worldcoin zilikuwa haramu

  • | Citizen TV
    1,022 views

    Ukusanyaji wa deta uliofanywa na kampuni ya Worldcoin kupitia vipimo vya macho kwa wahusika hapa nchini ulikuwa kinyume na sheria. Huu umekuwa uamuzi wa mahakama iliyosema kuwa kampuni hiyo haikufuata taratibu na athari za kulinda habari za wahusika kama inavyohitajika kisheria. Jaji Roselyne Aburili sasa akiagiza kufutwa kwa habari zote za walioshiriki.