Mahakama yaamuru KANU haimiliki KICC

  • | Citizen TV
    313 views

    Mahakama yaamuru kanu haimiliki kicc jaji jackline mogenyi ametupilia mbali kesi iliyowasilishwa mahakama imeamuru kicc inamilikiwa na serikali hati miliki iliyotolewa kwa kanu 1989 imebatilishwa