Mahakama yaipa kaunti ya Nairobi idhini ya kuzika miili

  • | Citizen TV
    712 views

    Serikali ya kaunti ya Nairobi inanuia kuzika miili yote ambayo haijatambuliwa katika makaburi ya langata wiki hii. Miili 240 ambayo sasa mahakama imeipa kaunti ya nairobi idhini ya kuizika inafanyiwa upasuaji na idara ya dci kuchukua sampuli za dna na kuzihifadhi