- 1,718 viewsDuration: 1:00Mashirika ya kutetea haki za kibinadamu sasa wanataka kukamatwa kwa Waziri wa Vyama vya Ushirika Wycliffe Oparanya kufuatia uamuzi wa mahakama kuu kuwa mkurugenzi mkuu wa mashtaka alikiuka sheria kusitisha kesi dhidi yake.