Mahakama yakataa kusitisha ushuru wa nyumba

  • | Citizen TV
    3,778 views

    Wakenya wataendelea kukatwa ushuru wa nyumba za bei nafuu baada ya jopo la majaji watatu kukataa kusitisha Kwa muda ushuru huo kwenye kesi iliyowasilishwa mahakamani.