Skip to main content
Skip to main content

Mahakama yakataa kutupilia mbali faini za NTSA

  • | Citizen TV
    818 views
    Duration: 3:01
    Mahakama kuu ilitupilia mbali ombi la kutaka mfumo mpya wa faini za hapo kwa hapo kutoka kwa halmashauri ya usalama barabarani NTSA kupigwa marufuku. Dereva Kennedy Maingi Mutwiri aliwasilisha kesi mahakamani akisema Mfumo huo unaipa NTSA nguvu za kuwanyanyasa madereva barabarani. Hata hivyo Mkurugenzi wa NTSA Nashon Kondiwa ameteta mfumo huo akisema utasaidia kurejesha nidhamu barabarani.