Mahakama yamuhukumu Jowie kifo kwa hatia ya mauaji

  • | Citizen TV
    8,585 views

    Mahakama kuu leo imemuhukumu kifo Joseph Irungu Jowie kwa hatia ya mauaji ya mfanyabiashara Monica Kimani yaliyotokea mwaka wa 2018. Jaji Grace Nzioka kwenye uamuzi wake ameelezea kwa mapana sababu zake za kumhukumu Jowie kifo, akisema kuwa mauaji ya Monicah yalikuwa ya kutisha na yaliyopangwa na kukusudiwa.