MAHAKAMA YAONGEZA MUDA WA AGIZO LA KUZUIA KUKAMATWA KWA VIJANA WA BBC

  • | K24 Video
    190 views

    Mahakama ya Nairobi imeongeza muda wa agizo linalozuia kukamatwa kwa vijana wanne wanaodaiwa kuhusika na makala ya upelelezi ya BBC kuhusu "Bunge la Damu." Hatua hii inakuja huku kukiwa na maswali kuhusu uhalali wa kukamatwa kwao na kushikiliwa kwa vifaa vyao vya kazi.