Mahakama yaruhusu bunge kuwapiga msasa Makamishna wapya

  • | Citizen TV
    733 views

    Mahakama Kuu imetoa maagizo ya muda kusitisha kuchapishwa kwa majina ya walioteuliwa kama makamishna wa IEBC pamoja na kuapishwa kwao.