- 2,735 viewsDuration: 2:29Mahakama sasa imekubali kuwasilishwa kwa ushahidi kutoka kwa daktari wa aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, kuhusiana na hali yake ya afya wakati wa vikao vya kubanduliwa kwake. Aidha, daktari Dan Gikonyo aliyewasilisha ushahidi unaoashiria kuwa Gachagua alikuwa hospitalini, sasa ametakiwa kufika mahakamani ili kutoa ushahidi huo moja kwa moja mbele ya mahakama.