Mahakama yasema mradi wa SGR ulifuata sheria

  • | Citizen TV
    170 views

    Mahakama ya upeo yasema zabuni iko sawa Mahakama yasema mradi wa SGR ulifuata sheria Mahakama: ulikuwa mradi wa serikali na serikali nyingine Mahakama: mradi ulipigwa msasa na kamati mbili za bunge