Mahakama yasimamisha kampuni ya Sarrai kuendelea na oparesheni katika kampuni ya sukari ya Mumias

  • | KBC Video
    Mahakama kuu imesimamisha kwa muda kampuni yenye asili yake nchini Uganda ya Sarrai Group, kuendelea na oparesheni zake katika kampuni ya sukari ya Mumias kwa siku kumi hadi swala hilo lisikizwe na kuamuliwa. Haya yanajiri huku wakulima wa Gakwamba wakifika mbele ya hakimu Wilfrida Okwani wakitaka kujumuisha kwenye kesi hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #MumiasSugar #SarraiGroup