Mahakama yasitisha jopo la Ruto la kupambana na ufisadi

  • | Citizen TV
    1,784 views

    MAHAKAMA KUU IMESITISHA KAMATI MAALUM ILIYOTEULIWA NA RAIS WILLIAM RUTO HAPO JANA KWA DHAMIRA YA KUPAMBANA NA UFISADI. JAJI BAHATI MWAMUYE AMETOA AGIZO KUWA JOPO HILO HALIWEZI KUANZA KAZI YAKE HADI PALE MAHAKAMA ITAKAPOTOA MWELEKEO MWEZI SEPTEMBA KUFUATIA KESI ILIYOWASILISHWANA WAKENYA WANNE