Mahakama yasitisha kwa muda agizo la serikali

  • | Citizen TV
    3,868 views

    Mahakama imesimamisha kw amuda agizo la serikali la kuzitaka shule na taasisi zote za umma kuwasilisha karo kupitia mtandao wa e-citizen hadi tarehe kumi na tatu Februari kesi hiyo itakaposikizwa.