12 Mar 2026 1:08 pm | Citizen TV 791 views Duration: 1:18 Ni afueni Kwa madereva baada ya Mahakama Kuu kutoa amri ya muda ya kusitisha utekelezaji wa faini za papo hapo za trafiki zinazotolewa kupitia mfumo wa kielektroniki.