18 Mar 2026 8:12 pm | Citizen TV 7,035 views Duration: 40s Mahakama kuu leo imesitisha kwa muda kupigwa mnada kwa mali ya waziri wa zamani Raphael Tuju iliyoko mtaa wa Karen kaunti ya Nairobi, mpaka pale kesi inayohusisha mali hiyo itakaposikizwa na kuamuliwa