Mahakama yasitisha mpango wa Maisha Namba

  • | Citizen TV
    1,833 views

    Serikali imepata pigo baada ya mahakama kuu kusitisha mpango wa usajili wa watu kupitia maisha namba. Hii ni baada ya taasisi ya katiba kuwasilisha kesi kortini kupinga mchakato huo ikisema kuwa serikali haina msingi wa kisheria kutekeleza mpango huo. Mpango wa kuzindua vitambulisho vya kidijitali ulikuwa tayari umeanza baada ya wizara ya usalama kuzindua awamu ya kwanza mapema mwezi wa November