28 Aug 2025 7:25 pm | Citizen TV 3,855 views Duration: 34s Hakuna ujenzi wowote wa kanisa la kudumu au hata maeneo ya ibada unaoweza kuendeshwa katika ikulu ya Rais kwa sasa. Hii ni baada ya Mahakama kusitisha ujenzi wa maeneo haya ya ibada pia kwenye ikulu ndogo nchini