29 Aug 2025 11:00 am | Citizen TV 845 views Duration: 45s Hakuna ujenzi wowote wa kanisa la kudumu au hata maeneo ya ibada unaoweza kuendeshwa katika ikulu kwa sasa. Hii ni baada ya Mahakama kusitisha ujenzi wa maeneo haya ya ibada pia kwenye ikulu ndogo nchini