20 Aug 2025 1:05 pm | Citizen TV 703 views Duration: 53s Mahakama imesitisha uundaji wa jopokazi la rais la kupiga jeki vita dhidi ya ufisadi nchini kufuatia kesi iliyowasilishwa mahakamani hii leo.