15 Aug 2025 10:15 am | Citizen TV 228 views Duration: 50s Mahakama kuu imetoa agizo la kuzuia uuzaji na kuhamishwa kwa hisa za kampuni ya Kenya Pipeline Company Limited hadi kesi iliyowasilishwa na shirika la COFEK litakaposikizwa na kuamuliwa