Mahakama yatupilia mbali kesi iliyokuwa ikipinga kuhusu GMO

  • | Citizen TV
    519 views

    Mahakama ya kushughulikia masuala ya ardhi na mazingira imetupilia mbali kesi iliyopinga kuingizwa nchini kwa vyakula vya kisaki au GMO kwa sababu ya kukosa ushahidi kuwa vina madhara kwa binadamu.