Mahakama yatupilia mbali kesi ya mwanaharakati Rose Njeri

  • | Citizen TV
    935 views

    Mahakama jijini Nairobi imetupilia mbali mashtaka dhidi ya mtaalamu wa mitandao na mwanaharakati Rose Njeri, ikitaja hati ya mashtaka kuwa na dosari.