Mahakama yawagiza marubani kurejea kazini kesho

  • | Citizen TV
    1,074 views

    Mahahama ya leba imeagiza marubani wanaogoma kurejea kazini kufikia saa kumi na mbili asubuhi hapo kesho kwani mgomo wao haukuwa halali. Mahakama imetoa agizo kwa uongozi wa kampuni ya ndege ya Kenya Airways kutowachukulia hatua ya kinidhamu marubani hao hadi pale kesi hiyo itaskizwa na kuamuliwa.