Mahakama yawataka madaktari kusitisha mgomo

  • | Citizen TV
    216 views

    Serikali na chama cha madaktari wamepewa makataa ya siku 14 kukamilisha mazungumzo ya maridhiano.