Mahojiano Maalum na Katibu Mkuu wa EAC kuhusu changamoto za Afrika Mashariki

  • | VOA Swahili
    120 views
    Yapo mengi ya kuzungumzia kuhusu Jumuiya ya Afrika Mashariki inayokua kwa kasi na yenye uwezo mkubwa kiuchumi na kisiasa, ungana na mwandishi wetu akiwa na Katibu Mkuu wa jumuiya hiyo Peter Mathuki kujadili kwa upana changamoto zinazoikabili nchi za Afrika Mashariki na yale yaliyojitokeza katika kikao cha 77 cha mkutano wa UNGA. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.