- 56 views“Nilipokuwa natoa hotuba yangu katika Bunge la Israel (Knesset) nilikuwa nasema watoto huko kusini mwa nchi hii na huko Gaza wanastahili kuishi na wakaanza kelele hizo na mimi, unaweza kuona kuwa nilipatwa na aina fulani ya mshtuko kwa muda mfupi. Ukweli, sikuweza kufikiria kuwa kuna mtu ataniambia kuwa hakuna usawa baina ya watoto hawa, na watoto hawako sawa. Hilo sawa. Iwapo unazungumzia kuhusu watu wazima, simaanishi kuwa hilo linakubalika, lakini tunaweza kubishana. Lakini watoto? Watoto wasio na hatia? Na kuna mtu anahoji haki za watoto kuishi? Halafu limekuja jambo baya sana, kwa maoni yangu , ni hukumu ambayo kwa jumla imenishtua sana kwamba watoto wa Gaza wamejisababishia wato wenye, ikimaanisha kupigwa mabomu na kuuwawa. Hakuna maelezo. Ninaweza kulia kwa ajili ya Myahudi, Mhindu au mtoto mwengine ambaye ameuawa kama nitakavyo mlilia mtoto wa Kipalestina, ambaye ameuawa. #israel #gaza #iran #reels #igreels #voa #voaafrica #knesset #hadash
Mahojiano na Mbunge wa Bunge la Israel Aida Touma-Suleiman
- - Duniani Leo ››
- 5 Jul 2025 - Rescuers were desperately searching for at least 20 girls missing from a riverside summer camp, officials said Friday, after torrential rains caused a "catastrophic" flash flood that killed at least 24 people as it swept through south-central Texas.
- 5 Jul 2025 - A middle-aged man was on Friday sentenced to seven years in prison after pleading guilty to a drug trafficking charge.
- 5 Jul 2025 - US President Donald Trump said Friday he was "very unhappy" about his telephone call with Vladimir Putin on the war in Ukraine, saying the Russian leader just wanted to "keep killing people."
- 5 Jul 2025 - Rwandan President Paul Kagame said on Friday he was unsure whether a U.S.-brokered peace deal would hold with Democratic Republic of Congo and warned he would respond to any "tricks" from his neighbour.
- 5 Jul 2025 - There is growing debate on the legality and ethical grounding of a construction of a church in State House.
- 5 Jul 2025 - The MP was part of the opposition rally in Kitale on Friday.
- 5 Jul 2025 - The United Nations Human Rights Council on Friday rejected a bid by Eritrea to end the mandate of a U.N. expert investigating alleged abuses in the country, in a relief to Western diplomats who feared it would set a dangerous precedent for states seeking…
- 5 Jul 2025 - 'There is growing anger and frustration with Ruto's leadership.' - Rigathi Gachagua
- 5 Jul 2025 - Itumbi said it was unnecessary for Archbishop Sapit to publicly question who should provide spiritual leadership at State House.
- 5 Jul 2025 - “So, Your Grace, my Archbishop, Most Reverend Ole Sapit...by design of the state, you are the National Chaplain.”