Mahojiano ya Rais William Ruto katika Aljazeera

  • | K24 Video
    102 views

    Rais William Ruto amesema serikali yake itarejelea shughuli za kurekebisha mfumo mzima wa kukadiria mikopo kuanzia wiki ijayo. Akizungumza na aljazeera, rais pia ametetea hatua yake ya kumteua rais mstaafu uhuru kenyatta kuongoza juhudi za amani katika ukanda wa afrika mashariki akisema kuhusika kwake kutaongeza thamani katika juhudi hizo.