Mahusiano ya jinsia moja | Rais Ruto asema haikubaliki kimaadili na kidini

  • | KBC Video
    45 views

    Rais William Ruto amepinga vikali jaribio lolote la kuidhinisha Ushoga humu nchini. Rais amesema kuwa ingawa anaheshimu uamuzi wa mahakama ya juu wa kuidhinisha usajili wa vikundi vya mashoga, tamaduni na imani za kidini za WaKenya haziruhusu mahusiano baina ya watu wa jinsia moja na kuwataka viongozi wa kidini kusimama kidete kutoa mwongozo wa kidini. Rais Ruto alisema hayo jijini Nairobi wakati wa maadhimisho ya mwaka huu ya siku ya wanawake duniani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #LGBTQ #News #williamruto