Maisha na Afya Episode 12 - Je Chloroquine ndio jawabu la corona?

  • | VOA Swahili
    Katika Maisha na Afya juma hili, wandishi wetu wanatuletea makala mbalimbali kuhusu mlipuko wa corona duniani, wakijaribu kubaini kama dawa ya Chloroquine ndio jawabu la virusi hivyo.